TANZANIA

Heri ya Noeli na Fanaka za Mwaka Mpya 2018

Uongozi mzima wa OZ Company Limited na Mtandao wa Habari wa Zama Mpya unapenda kuwatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Noeli na kuwatakia pia fanaka na Baraka za Mwaka Mpya wa 2018. Tuendelee kuwa pamoja na kuendelea kufanya makubwa kuliko ambayo tulijaribu au kuthubutu kuyafanya katika mwaka huu unaoisha. M. M. Mwanakijiji

(42)

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

Waandishi Makala

No recent posts available