Na. M. M. Mwanakijiji
Itakuwa ni makosa makubwa kwa watu kupuuzia, kukejeli au kudharau mwamko ambao mwanadada wa Kitanzania anayeishi Marekani Mange Kimambe...
Category - TANZANIA
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa Mara Nyingine
Kwa mara nyingine tena tunashuhudia Serikali inakimbia kujitetea (on the defensive). Zinatolewa tuhuma, tena nzito...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania (KKKT) limetoa waraka mkali wa kichungaji likilalamika na kuonesha mambo saba ambayo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna sababu ya msingi ya kuzuia maandamano ya kisiasa Tanzania. Mikusanyiko ya mikutano ya kisiasa haiitaji kufanywa iwe migumu kiasi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Rais Magufuli hatakiwi kwenda Mwanza, Shinyanga, Geita au eneo jingine lolote la Kanda ya Ziwa bila ya kuonekana anakupendelea na ni...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kabla hujaamua kununua kitabu cha riwaya mpya ya UPAKO KUTOKA KUZIMU ambacho kitaanza kupatikana kupitia mtandao wa Amazon (kitabu cha...
Na. M. M. Mwanakijiji
Madikteta wote wanafanana; wawe ni wale ambao ni mtu mmoja mmoja au wawe wa chama kimoja; kufanana kwao kunatabiri vitendo vyao. Hufanana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Jeshi la polisi lina matatizo au mapungufu makubwa manne; mapungufu haya yanasababisha au yamekuwa sababu kuu ya tatizo moja kubwa ambalo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilivyoandika jana kuna watu wanaona sikusema kwa ukali sana. Wapo wanaosema naogopa kumnyoshea kidole Rais Magufuli kwa sababu...