KIMATAIFA SIASA

Uchaguzi DRC: Kanisa Katoliki Lasema Kuna Mshindi Wa Wazi Uchaguzi Wa Urais

Na Mwandishi wetu.

Kanisa Katoliki, lenye ushawishi mkubwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limesema kuna mshindi wa wazi wa urais katika uchaguzi uliofanyika Jumapili, kwa mujibu wa matokeo ambao wamefanikiwa kuyaona.

Maaskofu wa kanisa hilo wamewataka watawala nchini humo kuwa wakweli na kutangaza matokeo hayo karibuni bila kuyabadilisha. Maaskofu hao hawajafafanua kwa uwazi jina halisi la mshindi katika uchaguzi huo.

Kanisa hilo lina maelfu ya wangalizi wa uchaguzi nchini humo na baadhi wamewasilisha ripoti za dosari kadha wa kadha.

(31)

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available