mwanakijiji

About the author

bongoz

1 Comment

Click here to post a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

 • Ndugu MWANAKIJIJI
  Makala yako ya zamampya.com ni fupi ila inafikirisha:
  Kwanza uliainisha mambo mawili yanayoelekea katika moja kuwa EL akizungumza na wanahabari anaweza kustaafu siasa na kujivua nyadhifa ndani ya CDM na hii ikawanjia rahisi ya kurudi CCM au akatangaza kurudi CCM moja kwa moja.
  NJIA nyingine uliyiosahau LOWASSA anaweza asichukue hatua ila akaongelea MAMBO ya kitaifa kimataifa kadri awezavyo,hii inatokana na uwezo wake wa kukaa kimya hata akitukanwa hadharani.
  Lingine lililo wazi iwapo JK wa CCM hakulazimishwa kujiuzulu uenyekiti yeye na NEC wakati LOWASSA,KINGUNGE, SUMAYE na wengineo walipohama ,wala hakusumbuliwa kwa kukaa kimya jamaawale walipoimba TUNA IMANI NA LOWASSA…….akiheshimu demokrasia,ni ajabu kuamini kuwa unapendekeza adhabu kali kwa viongozi wa upande mwingine kama vile wanaohama au wanaorudi CCM wametoroka gerezani na MBOWE na CC yake ni askari Magereza wazembe!
  Nawasilisha

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available