Makala

About Author

Mimi Mwanakijiji

M. M. Mwanakijiji ni jina la kiuandishi (pen name) la Mchambuzi wa makala za kisiasa na kijamii nchini. Ndg. Mwanakijiji amekuwa akiandika makala mbalimbali za uchambuzi wa kisiasa katika mitandao ya kijamii na magazeti mbalimbali nchini tangu mwaka 1997. Ni miongoni mwa wachambuzi ambao wanazua hisia kali katika pande mbalimbali za mijadala nchini. Pamoja na uandishi wa makala Mwanakijiji pia ni mtunzi wa vitabu vya mada mbalimbali pamoja riwaya, filamu, michezo ya kuigiza na nyimbo. Yeye na familia yake wanaishi nchini Marekani jimbo la Michigan.