MAISHA

Majaliwa Awataka Wanaotumia Kuni Kuanza Kutumua Gesi

Na Sabina Wandiba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za serikali zinazotumia kuni na mkaa kwa wingi kama vile shule na majeshi kuanza mikakati madhubuti ya kubadili mfumo wa kupikia na kuweka majiko ya gesi ili kupunguza matumizi ya mkaa ambayo yamekuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira.

Alisema hayo jana Dar es Salaam katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau kujadili namna na njia bora ya kupunguza matumizi ya mkaa kwa usimamizi endelevu wa mazingira nchini.

“Nimeelezwa kuwa makampuni yanayouza majiko na gesi ya kupikia aina ya LPG yameonesha nia ya kuweka majiko haya bila gharama yoyote.

Tutumie vyombo vyetu vya habari na majukwaa ya mikutano kuhamasisha wananchi kutumia fursa hii ya LPG,” alisema Waziri Mkuu.

(26)

About the author

10cjlow1992

Add Comment

Click here to post a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available