KIMATAIFA

Polisi Wavamia Makao Makuu ya Jarida la Newsweek, New York

Na. Mwandishi Wetu

Maafisa wa Jeshi la Polisi wa Jiji la New York (NYPD) wakiongozana na wapelelezi kutoka ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Jiji hilo wamevamia makao makuu ya jarida maarufu duniani la Newsweek, jijini humo. Hata hivyo haijajulikana kwanini maafisa hao wameingia kwenye chombo hicho cha habari zaidi ya vyanzo kuelezea tu kuwa walikuwa wanachukua picha za kompyuta mbalimbali zinazotumika humo kama servers.

 

(20)

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available