HABARI KUU TANZANIA

Kutoka Kwetu: Heri ya Krismasi 2016

Mhariri Mkuu na wafanyakazi wote wa Gazeti la Zama Mpya pamoja na Uongozi wote wa OZ Company, uongozi wa makundi yote ya OZ kwenye WhatsApp; unapenda kuwatakia wana OZ wote pamoja na Watanzania wote Heri ya Siku Kuu ya Noeli ambapo ndugu zetu Wakristu wanaungana na Wakristu wengine pote duniani kuadhimisha kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristu. Tunawatakia kila la kheri kwenye siku kuu hii tunapoelekea kuufunga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.

 

(21)

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available