Habari Kuu MAISHA

Jambo Limezua Jambo: Makonda Azua Mambo na Majambo; Ya Kutungiwa Nyimbo!

Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda

Mwandishi Wetu

Katika kuonesha kuwa Watanzania hawakosi vituko. Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Bw. Paul Makonda kukutana na kina mama wanaodai kutekelezwa na wazazi wenzao, vituko vimeanza kuibuka sehemu mbalimbali nchini. Mmoja wa wamama walioenda kwenye mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Dar Bw. Paul Makonda kupeleka madai ya kutelekezwa na mzazi mwenzie, ameapa harudi tena huko. Katika ujumbe wa sauti ambao umekuwa ukisambaa mitandaoni mama huyo ambaye hakutaja jina lake na haikuweza kuthibitika mara moja kama kweli alienda kwa Makonda ameapa kuwa harudi tena huko.

Sikiliza ujumbe huo hapa:

Wakati huo huo wengine, imebidi waanza kutafuta wenyewe wanawake wanaodhani wamezaa nao na wanakodaiwa kutekeleza na mambo mengine hayajaenda vizuri… Na bado haijafikiriwa kama zoezi hili litakapoanza kuwageuka na kugusa wanasiasa, watu wengine mashuhuri, viongozi wa dini.. na watendaji wakubwa serikalini.. ni zoezi endelevu kweli?

(188)

About the author

bongoz

Add Comment

Click here to post a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available