PATA E-GAZETI TANZANIA

Gazeti la Zama Mpya Latoka Mtandaoni

Kwa muda mrefu tumekuwa tukisubiria kuanza kutoa gazeti letu la Zama Mpya mitaani ili wasomaji wetu pote nchini na nje ya nchi waweze kulipata likiwa lina habari wanazozijali na burudani mbalimbali. Tukiwa tunaelekea huko basi sasa tumeanza kufanya majaribio ya gazeti hili kwa kukupatia gazeti lote bure mtandaoni katika mfumo wa PDF ambapo unaweza kulipata na kulisoma kwa muda wako bila gharama yoyote kwako. Ukiwa na mawazo na mapendekezo yoyote au maoni au hata kutaka kurusha matangazo yako bure (wakati huu wa majaribio) kwa mhariri wasiliana nasi: klhnews@gmail.com

BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO SASA   ZamaMpyaPilot

(188)

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available