NZITO ILIYOINGIA UCHUMI

Kiwanda cha Matairi Nusura Kiungue; Zimamoto Wadhibiti

Moshi mkubwa juu ya kiwanda cha Superdol

Na. Sabina Wandiba

Moto ambao chanzo chake hakikujulikana umeunguza sehemu ya unateketeza kiwanda cha matairi cha Superdoll kilichopo Jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kikosi cha Zimamoto lilifanikiwa kuzima moto huo. Hasara iliyosababishwa na moto hiyo haijaweza kujulikana.

 

(42)

About the author

bongoz

Add Comment

Click here to post a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

OZ TV MAGUFULI ADAI TZ TUNAWEZA!

Bofya kutazama zaidi...

VIDEO YA LEO

KILICHOPOSTIWA PUNDE

PAYPAL

KUNDI LA HABARI

KINACHOENDELEA SASA

Waandishi Makala

No recent posts available